Millionaire  Ads

Friday, August 8, 2014

BAADHI YA PICHA WAKATI WAUGAWAJI WA ZAWADI TAMASHA LA MICHEZO KWA WALEMAVU.

Tags






Katika picha Meneja wa Mradi wa TTU-Education Through Sports ni Mwenye fulana nyekundu akiwakabidhi Walimu na Wanafunzi Zawadi.

4 comments

WALEMAVU NI SEHEMU YA JAMII YETU,

Nikweli na ni jukumu la kila mtu kuona ndugu zetu walemavu nao pia wanafurahia maisha walivyo binadamu wengine.. kwani binadamu wote ni sawa.

Hata wao pia wanahaki.

TTU - Education Through sports nawapa hongera sana kwa kazi nzuri kwa kuwakumbuka walemavu kwani na wenyewe wana haki ya kucheza kama wengine.

Changia mawazo yako hapa, Kuwa huru kuandika chochote kwa manufaa ya jamii
EmoticonEmoticon