mipira ya mikono( handball)
- Visahani vya kurusha katika Riadha (Discus)
- Mtufe ya kurusha katika Riadha ( Shot-put)
- Mikuki ya kurusha katika Riadha (Javelin)
Vifaa hivyo vilikabidhiwa kwa walimu hao na Meneja wa mradi huo mbele ya Mgeni rasim Bw.Henry kapera Afisa michezo wa Mkoa wa Singida na Maofisa wa wa Elimu wa wilaya husika. Sambamba na hilo Mwenyekiti wa Chama cha walimu Bw. Alan Jumbe ambaye pia ni Mwenyekiti wa bodi ya mradi huu alishauri sana kuwa vifaa hivyo ni jitihada za chama na wadau kwaajiri ya kuhakikisha michezo na elimu vinakwenda sambamba hasa katika shule kwani shule ndizo zilizo sheheni vipaji vya kila namna vya michezo hivyo chama kitahakikisha kupitia mradi huu unasambaa kwa nchi nzima ikibidi, kwani michezo imechochea sana mahudhurio katika shule lakini pia imeimarisha utimamu wa afya za wanafunzi katika shule na kuwafanya wasome vizuri bila kuwa na mteteleko wa kiafya.
Mwenyekiti wa chama cha walimu Mkoa wa singida ambaye pia ni Mwenyekiti wa mradi akiwa kushot kwa mgeni rasimi wakiwa na kaimu katibu wa mkoa wa Singida kwanza kshot kwa mgeni rasimi aliye simama
Mgeni rasm Bw.Henry Kapera akiwa anatoa maelezo juu ya mafunzo haya tangu kuanza hadi mwisho wake
Meneja wa mradi akiwagawia Walimu wa Michezo vifaa pamoja na Maafisa wa Elimu kutoka kila wilaya.
Maafisa wa Elimu wakiwa navifaa vya Michezo ambavyo ni Mikuki, Visahani, Matufe na Mipira
Walimu na Maafisa Elimu Wakiwa wamebeba vifaa husika katika picha
Changia mawazo yako hapa, Kuwa huru kuandika chochote kwa manufaa ya jamii
EmoticonEmoticon