Waamuzi
wanaotarajia kuchezesha mechi za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na Ligi Daraja la
Kwanza (FDL) msimu huu watafanya mtihani wa utimamu wa mwili (physical fitness
test) mwezi ujao.
Mtihani
huo utahusisha waamuzi wa daraja la kwanza (class one) wakiwemo pia wale wenye
beji za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
Mbali
ya mtihani huo unaotarajiwa kufanyika kabla ya Septemba 10 mwaka huu, pia
kutakuwa na semina kwa makamishna ambao watasimamia mechi za VPL na FDL.
Kibendera cha muamzi wa mpira wa miguu
Waamuzi wakiwa katika Mtihani Wa physical fitness
chanzo cha habari hizi ni :-
Boniface Wambura
Ofisa Habari na Mawasiliano
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
Makocha
wa kombaini za mikoa zitakazoshiriki Copa Coca-Cola mwaka 2014 pamoja
na waamuzi vijana wa michuano hiyo watashiriki kozi ya ukocha na uamuzi
itakayofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Agosti 25 hadi 29 mwaka huu.
Kozi hiyo itafanyika jijini Dar
es Salaam kuanzia Agosti 25 hadi 29 mwaka huu ikiwa ni sehemu ya
maandalizi michuano ya Copa Coca-Cola ngazi ya Taifa itakayochezwa
Septemba mwaka huu.
Makocha watakaoshiriki kozi hiyo
na mikoa yao kwenye mabano ni Ahmed Simba (Mwanza), Ally Kagire
(Kagera), Aloyce Mayombo (Pwani), Andrew Zoma (Tabora), Anthony Mwamlima
(Mbeya), Athuman Kairo (Morogoro), Bakari Ali (Kaskazini Pemba) na
Charles Mayaya (Shinyanga).
Fidelis Kalinga (Iringa),
Gabriel Gunda (Singida), Hafidh Muhidin Mcha (Kusini Pemba), Hamis Mabo
(Kigoma), John William (Geita), Joseph Assey (Shinyanga), Joseph Haley
(Manyara), Jumanne Ntambi (Kilimanjaro), Leonard Jima (Ruvuma), Madenge
Omari (Mara), Mohamed Muya (Dodoma), Nicholas Kiondo (Ilala) na Nurdin
Gogola (Temeke).
Osuri Kosuli (Simiyu), Peter
Amas (Arusha), Ramadhan Abdulrahman Ramadhan (Mjini Magharibi), Renatus
Mayunga (Kinondoni), Samwel Moja (Lindi), Seif Bakari (Katavi), Shaweji
Nawanda (Mtwara), Sheha Khamis Rashid (Kaskazini Unguja), Tigana Lukinjo
(Njombe), Yusuf Ramadhan Hamis (Kusini Unguja), Zahoro Mohamed (Tanga)
na Zakaria Mgambwa (Rukwa).
Waamuzi vijana watakaoshiriki
kozi hiyo chini ya Mkufunzi wa FIFA, Felix Tangawarima wa Zimbabwe ni
33. Kwa upande wa ukocha Mkufunzi ni Ulric Mathiott kutoka Shelisheli.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5318#sthash.m3stqZ49.dpuf

wanaotarajia kuchezesha mechi za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na Ligi
Daraja la Kwanza (FDL) msimu huu watafanya mtihani wa utimamu wa mwili
(physical fitness test) mwezi ujao.
Mtihani huo utahusisha waamuzi
wa daraja la kwanza (class one) wakiwemo pia wale wenye beji za
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
Mbali ya mtihani huo
unaotarajiwa kufanyika kabla ya Septemba 10 mwaka huu, pia kutakuwa na
semina kwa makamishna ambao watasimamia mechi za VPL na FDL.
Hivyo waamuzi wote wanatakiwa kutumia muda uliobaki kufanya maandalizi kwa ajili ya mtihani huo.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5321#sthash.PIPQjyBI.dpufWaamuzi wanaotarajia kuchezesha mechi za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na Ligi Daraja la Kwanza (FDL) msimu huu watafanya mtihani wa utimamu wa mwili (physical fitness test) mwezi ujao. Mtihani huo utahusisha waamuzi wa daraja la kwanza (class one) wakiwemo pia wale wenye beji za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Mbali ya mtihani huo unaotarajiwa kufanyika kabla ya Septemba 10 mwaka huu, pia kutakuwa na semina kwa makamishna ambao watasimamia mechi za VPL na FDL. Hivyo waamuzi wote wanatakiwa kutumia muda uliobaki kufanya maandalizi kwa ajili ya mtihani huo. - See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5321#sthash.PIPQjyBI.dpuf
Waamuzi
wanaotarajia kuchezesha mechi za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na Ligi
Daraja la Kwanza (FDL) msimu huu watafanya mtihani wa utimamu wa mwili
(physical fitness test) mwezi ujao.
Mtihani huo utahusisha waamuzi
wa daraja la kwanza (class one) wakiwemo pia wale wenye beji za
Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
Mbali ya mtihani huo
unaotarajiwa kufanyika kabla ya Septemba 10 mwaka huu, pia kutakuwa na
semina kwa makamishna ambao watasimamia mechi za VPL na FDL.
Hivyo waamuzi wote wanatakiwa kutumia muda uliobaki kufanya maandalizi kwa ajili ya mtihani huo.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5321#sthash.PIPQjyBI.dpuf
Changia mawazo yako hapa, Kuwa huru kuandika chochote kwa manufaa ya jamii
EmoticonEmoticon