Andika ujumbe tuma kwenda onlinelibrarytz.singida@blogger.com
WALEMAVU NI SEHEMU YA JAMII YETU,
Nikweli na ni jukumu la kila mtu kuona ndugu zetu walemavu nao pia wanafurahia maisha walivyo binadamu wengine.. kwani binadamu wote ni sawa.
Hata wao pia wanahaki.
TTU - Education Through sports nawapa hongera sana kwa kazi nzuri kwa kuwakumbuka walemavu kwani na wenyewe wana haki ya kucheza kama wengine.
Changia mawazo yako hapa, Kuwa huru kuandika chochote kwa manufaa ya jamii EmoticonEmoticon
4 comments
WALEMAVU NI SEHEMU YA JAMII YETU,
Nikweli na ni jukumu la kila mtu kuona ndugu zetu walemavu nao pia wanafurahia maisha walivyo binadamu wengine.. kwani binadamu wote ni sawa.
Hata wao pia wanahaki.
TTU - Education Through sports nawapa hongera sana kwa kazi nzuri kwa kuwakumbuka walemavu kwani na wenyewe wana haki ya kucheza kama wengine.
Changia mawazo yako hapa, Kuwa huru kuandika chochote kwa manufaa ya jamii
EmoticonEmoticon