Website hii inweza kuwa yako bure kabisa soma zaidi mpaka mwisho. Unayaona matangazo yaliyopo kwenye website hii basi mapato yote yanaweza kuwa yako 100% Sisi tunachokutaka ni ubunifu wa kupata watazamaji na kuandika habari za kweli zenye maadili ya uandishi wa habari na kuandika makala ambazo zina manufaa kwa jamii. Pia utapata msaada toka www.chatguest.com ambayo ni website mama kuhusiana na kazi hii utakayokuwa ukifaya hapa kwenye website hii.
Huwezi kupata website yenye matangazo ambayo mapato yote ya website hiyo ni yako sehemu nyingine yeyote ni hapa hapa chat guest tu. Pia unaweza tengeneza blog sehemu nyingine bure kama blogspot au wordpress lakini huwezi kupata matangazo ya google mapema sana, inaweza kukuchukua wewe miaka hata miwili mpaka ukubaliwe kuweka matangazo ya google. Kwa hiyo hii ni fulsa kubwa kwa wote wenye kupenda kuwa na tovuti. Wapo watu hapa nchini kukutengenezea blog ambayo hata haina matangazo yatakayokupa pesa wanakutaka uwalipe elfu 50 lakini sisi chat guest unapata bure website na mapato ya matangazo yote ni yako.
Ili utume maombi ya uandishi wa habari katika mkoa huu soma zaidi maelekezo kwa kubonyeza hapa
Ukiwa na swali uliza kwenye forum yetu hapo juu
Changia mawazo yako hapa, Kuwa huru kuandika chochote kwa manufaa ya jamii
EmoticonEmoticon